Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Ubungo John Mnyika wakati alipokwenda kuzindua Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam leo .(picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. uhuru wa habari umefanya JK kuwa anarushiwa sana madongo kuliko rais yyt bongo....lakini kiukweli ni rais anaekubalika sana kuliko wote except JKN...Big up JK uko vizuri rais wetu!
    Mdau wa Oxford

    ReplyDelete
  2. Bila shaka kwenye matukio kama haya ule "upinzani" wa kisiasa huwekwa kando. Utaifa na uzalendo kwanza! Hii ndio raha au karaha ya siasa. Sio ugomvi. Ni kupishana tu kwa hoja, mitizamo na sera.Mwisho wa siku wote ni watu na mahitaji yetu yanafanana.

    ReplyDelete
  3. John Mnyika, tena una bahati sana ni mara ya pili unabahatikana kuonana na Mhe. Raisi baada ya kufanikiwa kwa mara ya kwanza tokea uzaliwe kuonana na Raisi JK ulipoalikwa Ikilu na wenzako wana Chdm.

    Lakini, usitegemee kuonana na Raisi kama utakavyo licha ya kuwa wewe ni Mbunge!

    ReplyDelete
  4. Kwani kuonana na rais ni kitu gani? siyo bahati kukutana na rais, Wewe uliyeandika hapo juu inaonekana una mawazo ya zamani...unahesabia mara ngapi mbunge akutane na rais? hakika unachekesha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...