Waziri Mkuu, Mizengo pinda akijibu Maswali Bungeni mjini Dodoma Aprili 18,2013.
Askari wa Bungeni (kulia) wakimwamuru Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kutoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya Naibu Spika Job Ndugai kumtaka afanyane hivyo na kukaidi. Wengine pichani ni wabunge wa Chadema wakizuia asitoke Aprili 17, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziriwa Kilimo , Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 18 ,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi Gharama ya kuendesha Bunge kwa siku moja ni sh.ngapi za kiTanzania(mwenye Data)?,mengine tutayaongea baada ya jibu kupatikana

    David V

    ReplyDelete
  2. CCM wanataka kutufanta sisi wananchi wajinga. Chadema kwa kuwa wanayaona madhambi hawataki kukubali.

    Sasa basi, CHADEMA mkishindwa kuwadhibiti CCM basi nanyi kuwa weziwenzao ugomvi utaisha. Mtuache sisi wananchi tusiokuwa na bahati tufe tu mbaki wenyewe

    ReplyDelete
  3. Lissu, ukiambiwa toka, yafaa utii. Na hapo baadaye fungua kesi dhidi ya kunyanyaswa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...