THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

mazishi ya Bi Kidude


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. HK Anasema:

    Mwenyeez Mungu Mughufirie yote aliyopitukia mja wako huyo na umuangazie nuru yako, umuepushe adhabuzo za kaburini, umtulize na kumpumzisha katika kivuli chako, mjaaliye kauli thabit na kesho YAWMUL-HISABU awe ni miongoni mwa waja wako wema watakaoingia katika JANNATU-N'NAEEM yako - AMEN.

    Ulale pema peponi Marehemu Bi Fatma Bint Baraka ( BI KIDUDE) nasi sote huko ndio khatma yetu.