Hii ni sehemu ya kwanza kati ya mbili za mjadala kuhusu mustakabali wa Jumuiya mbalimbali za waTanzania katika DIASPORA baada ya kufunguliwa kwa matawi ya vyama mbalimbali vya siasa katika nchi husika
Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mjadala kuhusu mustakabali wa Jumuiya mbalimbali za waTanzania katika DIASPORA baada ya kufunguliwa kwa matawi ya vyama mbalimbali vya siasa katika nchi husika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mi naona ni upuuuzi kuanzisha vyama nga'mbo hao jamaa walioanzisha wamepigika wanatafuta easy way ya kwenda bongo kwani unaeza saidia bila kua mwanachama

    ReplyDelete
  2. Ni mojawapo ya mijadala muhimu sana. Pongezi kwa wote waliohusika na mawazo ya busara kutoka pande zote. Cha muhimu kama walivyosema wachangiaji kwa watanzania walioko ughaibuni no kujitambua wao kama watanzania kwanza kabla ya kiitu kingine chochote. Ancona momma wa viongozi wa kiitikadi alikuwa in denial mwanzoni lakini hatimae amekubali kuwa tatizo lipo, kwani lisemwalo lipo. Nikiwa mmojawapo wa watanzania wa ughaibuni ambapo tuna champ cha watanzania tu, nashukuru hatujafika hapo pa kuanzisha vyama vya kisiasa. Lakini endapo kama kwa bahati mbaya au nzuri tukafika hapo, tumepata ya kujifunza kutoka kwa wenzetu wa DMV kuhusiana na changamoto zinazotokana na kuwa na makundi tofauti tofauti na hasa ya kiitikadi za kisiasa..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...