THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

ngoma azipendazo ankal

Ngoma ya Skylight Band ya 'Nasaka Dough' iko bomba...!


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Ya ukweli sana! BIG UP.... yaani nomaaaa

  2. Anonymous Anasema:

    Kilicho ni boa ni kimoja tu. Bendi ya Tanzania, kwenye video kichwa cha treni kimeandikwa Masai wa Kenya. Mnaona kama ni vitu vidogo lakini vikubwa sana ktk fani ya "marketing," ama "public relations," then kila siku twalalamika watani wanatupiga bao, ni kweli! hata kama mmeifanyia Kenya mlikuwa na uwezo wa kusema hatutaki ionekana hivi. Ni mawazo tu yangu.

  3. Anonymous Anasema:

    Marketing kwa wasanii wetu bado kwikwi na ukiwaelimisha basi unajenga chuki au bifu