THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  "Jumla ya 'watahiniwa wa shule' 159,609 kati ya watahiniwa 397,138 waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2012 wamefaulu" Jamani kuna improvement yoyote hapa mbona naona ni 60% tena ambao wamefeli? hii report imechanganywa au ndio vipi wadau.

 2. Anonymous Anasema:

  Hongera kwa kuchakata matokeo upya, lakini sijafahamu "standalization" ni nini hasa? Au Mimi ndio maimuna? Joe bura, dar

 3. eastafrican Anasema:

  Joe Mai Muna Maana ya standa Dar ization ni Kutumia Mfumo Wa Ki DAR ES SALAAM kuchakachua matokeo wakiona Mjii mkuu umefeli sana basi ndiu hustandaraization sio wakachakachua

 4. Anonymous Anasema:

  mmh jamani mie sijaona mabadiliko sijui mdo kutoelewa