"Kosea njia utaelekezwa, lakini usikosee mtu wa kukuoa au kuolewa naye, vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako. Tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha." 
ERIC SHIGONGO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2013

    Kiongozi, Ndg. Eric Shigongo.

    Kaka mkubwa, Muheshimiwa ama kweli ukubwa ni Dawa hii kauli yako ya leo ni ya busara sana ina mafunzo mengi sana ili kuwapa watu dira ya jinsi ya uendesha mambo yao ktk maisha na pia kuendesha mambo kwa kuitazama jinsi dunia inavyokwenda.

    Imekuwa ni Ono na Neno tosha ingawa hukufafanua umemlenga nani haswa.

    Neema ya Mwenyezi ikushukie zaidi.

    Ahsante sana ndugu kazi njema!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2013

    WANYANTUZU nao wakasema "FIJAGAA NDIMU NG'WIKUNGU,UZAGUFIJA KUBYALA".Tafsiri yake ni Heri umkose Mnyamapori shambani(kwa mshale),kuliko kukosea kuzaa.Maana yake halisi Ni kwamba ukizaa mtoto asiyekuwa mtii na msikivu kwa Wazazi utajuta maisha yako yote.Kwa kawaida IKUNGU Ni shamba linalolimwa kila Mara hivyo halina vichaka kiasi cha kuifanya jamii hii ya Wawindaji kumlenga kwa urahisi na kumuua mnyama kuliko eneo lingine.Kuzaa mtoto asiyekuwa Mtii na Msikivu kwa Wazazi Ni Majuto makubwa Zaidi kuliko ya kukosa shabaha ya mnyama

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2013

    Kichwa, unapochagua mwenzi wa maisha usije uka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...