Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymon Moshi mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi SADC.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi SADC. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2013

    jetset president. hachoki kusafiri

    ReplyDelete
  2. Che GuevaraMay 12, 2013

    Sasa Raisi wangu tembelea basi Mbezi ya kimara tukupe kero zetu? No.1. foleni ya magari njia hii tunatoka saa 11 asbh na kurudi saa 4 usiku HOI hadi haki kwa wenzetu tunashindwa kuwapa!

    NO. 2. MAJI - kuna hawa jamaa wa DAWASCO wamegeuza mradi wa vioski vya maji kutukomoa! Njoo Raisi wangu kabla haijafikia mahali tuwatoe utumbo hawa jamaa huku wanajiona!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2013

    Ukiwa nacho tumia.ulitaka ajifungie ikulu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...