HUDUMA MPYA YA KIFURUSHI
NEW DOOR TO DOOR SERVICE
TUNACHUKUA MZIGO MLANGONI KWAKO UK NA TUTAUFIKISHA MLANGONI KWAKO DAR
UKILIPA HAPA UK HAULIPI TENA DAR, SISI TUTAKULETEA MZIGO NYUMBANI KWAKO!
Baada ya kushughilikia kwa kina mapungufu yaliyojitokeza mwanzo,
sasa tumerudi na huduma ya kifurushi tena ikiwa imeboreshwa zaidi.
BEI ZETU KAMA KAWAIDA HAZINA KIGUGUMIZI NA SI ZA KUUMIZA
AIR CARGO TO DAR NOW £3.50 INCLUSIVE CLEARANCE!
AIR CARGO TO ZANZIBAR NOW £3.00 INCLUSIVE CLEARANCE!
AIR CARGO TO NAIROBI/MOMBASA NOW £2.80 INCLUSIVE CLEARANCE!
KIFURUSHI KWA KONTENA DAR/ZANZIBAR NOW £2.20 INCLUSIVE CLEARANCE!
NDEGE ZINAONDOKA KILA WIKI MARA MBILI
TUNAFUATA MZIGO KUTOKA POPOTE UK
MINIMUM WEIGHT IS 40KILOS
KAMA UNATAKA KUAGIZA KITU AU KUFANYA BOOKINGS TUWASILIANE KWA NAMBA HAPA CHINI
CHRIS LUKOSI +44 07903828119 & 07404279633SIMON LOUIS (MOHSIN) +44 07950689243HASSAN +44 07448795075HQ - UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRHTell (+44) 01375 855917 Fax (+44) 01708202477
Hivi mtajuja lini USA Jamani
ReplyDeletejamani tufikirieni na sie ndugu wa zenu wa USA jamani tafadhalini saana sanaa mbona tutashukuru tukipata hiyo service na sie, ni hayo tu
ReplyDeleteushauri wangu wekeni pia na zile admin charge msiwafungishe tu watu mizigo kisha kuna hidden charges pound 45 semeni tu plus 45 charge za utapeli
ReplyDeletePia mseme kuwa watu wasifunge vitu vya biashara au vya thamani maana vinakutoweni roho vikija huko ah si hatupeleki vitu hivi we tutakuchaji zaidi kwa kuwa unaenda kuuza
Wapuuzi tu mtu yoyote anaetaka kufunga mzigo kuna company inaitwa TUDOR FREIGHT wao wanakuja nyumbani na mizani yao mnapimiana hapo hapo unaambiwa bei hapo hapo mzigo 3 days kwa condor air
kila jumatatu kkufika bei ubweteeeee
USA mbona yako makampuni kama haya.
ReplyDelete1. Rodgers Exports
2. All Africa Travel
etc