Baadhi ya Watanzania waishio nchini Japani wakionyesha mavazi yavaliwayo Tanzania, katika maonyesho ya mavazi jijini Yokohama ikiwa ni maandalizi ya kuelekea mkutano wa tano wa kimataifa wa maendeleo ya Africa (TICAD V) utakaofanyika katika jiji hilo juni 1 – 3 mwaka huu.
Banda la vyakula vya kitanzania katika maonyesho ya African Festival jijini Yokohama. Sambuza, bagia, mandazi, ugali na pilau vilikuwepo na vilichangamkiwa na wajapani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2013

    Tanzania kuna mavazi mengi na hapo wamevaa ya Kimasai tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2013

    nilishasema hayo bt watu hawataki kunielewa na wakidai nimesema pumba!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...