Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara wakitoa heshima za mwisho kwenye ibada ya mazishi iliyofanyika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro adre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Moshi Mjini, akiongoza ibada ya mazishi ya Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara iliyofanyika eneo la Rau, nje kidogo ya mji wa Moshi, Kilimanjaro juzi Ibada ya mazishi ikiendelea. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...