Dereva wa Hiace linalojulikana kwa BEACH BOY linalomilikiwa na Ramadhan Abdulaziz aliefahamika kwa jina moja la MKOPI ndie pekee aliyepata majeraha katika ajali hiyo baada ya kugonga lori na kukimbizwa hospital ya Mkoa Lindi....Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Dar -Mtwara Picha na Abdulaziz Video,Lindi
Askari wa usalama barabarani ameshawasili eneo la tukio
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...