Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kagoma-Lusahunga katika wilayani BiharamuloRais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kagoma-Lusahunga katika wilayani Biharamulo.
 Rais Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na wananchi wa Ngara baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo Jumamosi Julai 27, 2013Rais Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na wananchi wa Ngara baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo  Rais Kikwete akishiriki kupiga ngoma na kikundi cha utamaduni cha Ngara wakati wa uzinduzi wa kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo wilayani NgaraRais Kikwete akishiriki kupiga ngoma na kikundi cha utamaduni cha Ngara wakati wa uzinduzi wa kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo wilayani Ngara Rais Kikwete akisimikwa kuwa chifu wa Wahaya na kukakabidhiwa mgolole na silaha za jadi za Wahaya katika sherehe ya kuzindua wilaya mpya ya Kyerwa (1)Rais Kikwete akisimikwa kuwa chifu wa Wahaya na kukakabidhiwa mgolole na silaha za jadi za Wahaya katika sherehe ya kuzindua wilaya mpya ya Kyerwa.Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasslimia wilayani Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu (1)Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasslimia wilayani Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2013

    i like the way you guys work as team,this shows how president kikwete leadership is going to hit back election 2015,so chadema what we need now, is to look alternatives strategy of dealing with our policies to bring changes to our country.may god bless TANZANIA

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2013

    Maweeeeee!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2013

    Maweeeeee!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2013

    Nyegera waitu Nyerere wa Tanzania( wahaya kila rais huwa wnamuita Nyerere.) Rais akitaka kupata kura nyingi kutoka Kagera 2015, inatakiwa ajiite Nyerere.

    Inapendezaje. Lakini wahaya huwa wakarimu sana. Ile tabia yao ya kujututumua husaidia kuonekana wakarimu. Maana lazima mgeni uone kuwa umetendewa vema kumbe unaonyeshwa kuwa wanaweza.Mungu wabariki wahaya pamoja na kuwa walitolewa kwenye network ya uongozi wa siasa lakini hawakwepeki.

    ReplyDelete
  5. infwakti nakuunga mkono iwe mushaija/muhisiki. Unajua, Nyerere ndio aluharibia, katutoa kwenye network ya siasa na kufanya mkoa wetu kuwa absolutely poor. Anyway, tutarudi kwa kishindo, ili tuweze kuikomboa Tanzania kwenye umaskini. Haiwezekani mkoa wenye idadi kubwa ya watu wenye PhD uwe na watu maskini hivi.

    nilikuwa narepresenti.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 29, 2013

    Hahahahahahaha !

    Rugemalira Ruta Ruta hapo juu umesasambua ukweli hadi nimecheka saana.

    Sasa kilichobaki ni kuweka dreams into reality mgeuze hizo PhD zenu kuakisi kinachostahili huko eneo lenu, ni kiasi cha kutoa Call for Papers ili kila msomi 'Nshomire' a Present paper lake na Matekelezo yafanyike.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 29, 2013

    Mhe. Raisi Jakaya Kikwete upo huko ukongoni kona za chaki Mpakani wa Tanzania na Rwanda.

    Unaonaje uchomokee hapo Boda wende hadi Kigali kumsalimu nduguyo Paul Kagame?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...