THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

JK azindua Mradi wa Ujenzi wa Barabara Kyaka-Bugene,Wilayani Karagwe

 Rais Jakaya Kikwete akifunua kitambaa cha jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara Kyaka-Bugene,Wilaya ya Karagwe,Mkoani Kagera.
Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na baadhi ya watendaji katika mradi wa Ujenzi wa Barabara Kyaka-Bugene,Wilaya ya Karagwe,Mkoani Kagera mara baara ya kuuzindua.


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Mheshimiwa Rais asante sana mkoa wetu umeingia kwenye ramani. Tunakuomba mara kwa mara utembelee kagera ili hata wale viongozi ambao hujiona marais wa kagera kwa sabb viongozi wa ngazi za juu hawatembelei mkoa huu wajisie kuwa wao si marais.

    Viongozi wa kitaifa endelea kutembelea mkoa huu. wananchi wananyanyaswa na viongozi wa mkoa huu . asanteni