Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2013

    nitafurahi sana siku zijazo usiongee kiswahili chenye kuchanganya na kimombo. Au usijaribu kabisa kusema kama ulivyosema: vijigari; vijinyumba na kadhalika. Elewa kwamba wawe wasomi au watu wa kati wote tunajitahidi kujivunia "utanzania". sasa wewe utanzania unaousema mbona unaweka lugha za wazungu! Bado uko mbali hata wewe na kasumba yako! Umeniudhi sana na hizi salamu zako kwa watanzania. Itabidi ubadilike

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2013

    Anachozumza Msigwa ni cha kweli, Watanzania tulio wengi ni waoga,na watu wa kukata tamaa haraka,Mengi mabaya yanafanyika huku watu wakishuhudia lakini wanashindwa hata kusema kwa kuhofu uhai wao au mali zao.Ni wachache sana wenye vifua vya kuusemea ubadhirifu unaofanyika nchini,Ifike wakati watanzania tubadili tabia,tuache woga ili wenye nia mbaya waone kwamba sasa hawana tena nafasi.Sijui ujumbe huu utatiwa kapuni nao maana..........

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2013

    Hakuna cha kweli alichoongea, nilikua najua umepiga kitabu Msigwa kumbe GOIGOI.............

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2013

    nitafurahi sana siku zijazo usiongee kiswahili chenye kuchanganya na kimombo. Au usijaribu kabisa kusema kama ulivyosema: vijigari; vijinyumba na kadhalika. Elewa kwamba wawe wasomi au watu wa kati wote tunajitahidi kujivunia "utanzania". sasa wewe utanzania unaousema mbona unaweka lugha za wazungu! Bado uko mbali hata wewe na kasumba yako! Umeniudhi sana na hizi salamu zako kwa watanzania. Itabidi ubadilike...Bwana Msigwa, fuata huu ushauri wa huyu NDUGU. Tunakuomba ujibu kama ni sahihi wewe kusema ulichokisema kwa kimomnbo na kiswahili pamoja. Afadhali ungekisema kwa lugha yako ya nyumbani basi...ambayo unaijua hata kuliko kiswahili. Wacha maudhhi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2013

    Hahaha!, Mheshimiwa Peter Msigwa!!!

    Tanzania SIO MALI YA CHADEMA WALA CCM?

    Nimeanza kwa kicheko sio kuwa nina dharau isipokuwa naomba unipe jibu kwa Kitendawili hiki hapa chini.

    Mfano tupo wawili mimi Mwananchi (Nikiwa na Chama Changu mwenyewe wewe Peter Msigwa na wenzako Utajaza jina naweka Kibindoni) na wewe Mheshimiwa Peter Msigwa UKIWA NA CHAMA CHAKO KAMA MBUNGE WA CHADEMA. ikitokea tunamfukuza kuku jirani na kwenye nyumba zetu halafu IKATOKEA KUKU AKAINGIA NYUMBANI KWANGU (sio nyumbani kwako) JE WEWE PETER MSIGWA UTASEMA NI WA KWAKO?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 29, 2013

    Mtoa mada wa kwanza na wa mwisho, asanteni sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...