Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga (Kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) alipokutana nao kuzungumzia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12 -2015/16) jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga (Kulia) akionesha nakala ya Kijitabu cha Dira ya Taifa ya Maendeleo (TDV 2025), alipokutana na wanahabari kuzungumzia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12 -2015/16) jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2013

    Jamani jamani mm kilio changu kipo kwa hao MAPAPA WA RUSHWA AU TAKRIMA kamwe hatuwezi kuendelea kiuchumi bila ya kuondoa mambo hayo,

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2013


    DAH SAMAHANINI SANA JAMANI, MIE KILIO CHANGU NI HUYO MREMBO MWEENYE HIJAB HAKUTENDEWA HAKI ALISTAHILI WALAU ATAMBULISHWE.

    UKWELI AMEPENDEZA KWELI

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2013

    Naunga mkono hoja mdau wa wa pili hapo juu. Mrembo mwenye Hijabu tunaomba 'wasifu' wake. Ndio PRO wao ama ndio nani.

    Wadau wenye data zake msaada tutani.

    ReplyDelete
  4. Samahani kwa kutomtambulisha; anaitwa Fatma Salum, ni Afisa Habari toka Idara ya Habari (MAELEZO).
    Na picha zote zimepigwa na Ndugu Frank Mvungi wa MAELEZO.

    Saidi A. MKabakuli
    Afisa Habari
    OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...