THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Dar skyline as viewed from Serena Hotel by MdauKuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Hapo ni pale unapo simama Serena Hotel na kutazama Uhuru Heights na Viva Towers.

  Bongo Daslam baba yake !

 2. Anonymous Anasema:

  Hapo ni pale umesimama Serena Hotel unatazama Uhuru Heights na Viva Towers.

  Pana Wadau wakandiaji wataanza ohhh ghorofa ni chache, ohhh imekaa hivi imekaa hivi,,,ukimuuliza mtu huyo ya kwako kubwa na kiwango uliyojenga ipo wapi?, hana jibu. kimyaaa!

  Bongo Daslam babake, mwendo mdundo !

 3. Anonymous Anasema:

  Roma haikujengwa kwa siku tatu.... Ndio tunaanza hivyo

 4. Anonymous Anasema:

  Bali tukumbuke, Maghorafa si kipimo cha maendeleo.

 5. Anonymous Anasema:

  Sawa tunarudi si muda,dual citizenship oyeeeeee.