THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Video ya Bondia Francis Cheka alivyomgaragaza mmarekaniVIDEO YA MPAMBANO KATI YA MADA MAUGO NA THOMAS MASHALI ITAWAJIA BAADAE


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Mmarekani amekiona cha moto Tanzania...akifika kwao anaweza Kustaafu Ngumi!

  Wanasema walioshuhudia Mmmarekani baada ya Mpambano alijieleza aliona akiwa ana gandamizwa 'mabandama' yaani magumi mazito na mtu asiye onekana!

  Inawezekanani kwa uzito wa magumi netiweki yake ya macho ikakatika ghafla akawa hamwoni mpinzani wake Cheka kwa kuwa Kipofu wa muda hadi alipojikuta chali ameshapigwa.

 2. Anonymous Anasema:

  Ankal Michuzi, ongoza jahazi la kikosi kazi kwa kuweka title ya video hii kwa Ki-Inglish: The World Boxing Union (WBU) world tile: FRANCIS CHEKA (TZ) Vs Phils Williams (USA). Dar-es-Salaam, Tanzania.

  Faida ni kwa bondia wetu Francis Cheka kuwa-promoted, nchi ya Tanzania kutambulika na hivyo masuala mengine kama utalii, uwekezaji unaweza kuzuka.

  Mwisho zingatio hilo litiliwe mkazo ili kuipenyeza Tanzania ktk kila nafasi inayopatikana ktk youtube.

  Ama sivyo video hii itaishia kutizamwa na wabongo pekee.

  Mdau
  Makini.

 3. Anonymous Anasema:

  HONGERA SANA CHEKA

 4. Anonymous Anasema:

  Hongera kwa ushindi Francis,laiti kama ungejua na speed kama ya floyd basi ungeipata KO kwakua mpinzani wako alikupa nafasi nyiingi mno,kingine zile ngumi za kumchosha,yaani zile za eneo juu ya nyonga mbona hukuzitumia au?zile muhimu kaka na zinasaidia kweli kuokoa muda.Ushauri wangu, jitahidi speed iwe zaidi na zaidi,ukikutana na wenye speed watakuchosha haraka sana.