Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

 1. hiyo chuma mbona ndogo sana mhe. Raisi? Ongeza nondo mhe. Raisi.

  ReplyDelete
 2. Video hii itawakera sana wana M23 na Wadhamini wao huko Kampala na Kigali!

  Si watakumbuka walikokuwa wakitesa?

  ReplyDelete
 3. Ni afadhali tungeimarisha Ushirikiano na Congo-DRC kwa Raisi Kabila ambaye tuna unasaba naye (alisha kaa Tanzania na Kusoma Elimu yake, tena kwao wanaongea Kiswahili kama sisi kama mlivyoona hapo akitoa Hotuba) na anayeaminika ambapo nchini kwake wana utajiri unaokadiriwa kuwa wa kiasi ch US$ 24 Trillion kuliko kuchanganyika na Afrika ya Mashariki isiyo aminika, yenye Maraisi wa Coalition of willing wenye kigeugeu na Tamaa ya Utajiri wa rahisi rahisi n wabinafsi wa
  Maslahi!.

  UN na Jumiya ya Kimataifa inaingia hasara ya kila mwaka kugharimia Majeshi ya kulinda Amani kwa gharama za US$ 1.4 Billion KAMA INGEAMULIWA VITA ISIMAMISHWE MASHARIKI YA CONGO-DRC, je fedha hizo kwa miaka 20 ya Vita Mashariki ya Congo (US$ 1.4 Billion X 20=US$ 28 Billion)!

  Hivi jamani kama hizo US$ 28 Billion zinge elekezwa ktk Social Sector (Yaani Elimu, Afya,Chakula, Makazi, Sheria, Haki za Binaadamu na Utawala Bora), je Mashariki ya Congo iliyo kombolewa majuzi tu mikononi mwa Mabwana wa Vita Waasi na Majeshi ya Tanzania UN Brigade ingekuwa wapi kimaendeleo???

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...