Home
Unlabelled
NEWS ALERT: Katibu Mkuu Kiongozi aongelea mapendekezo ya wajumbe wa bunge la katiba, mabadiliko katika Baraza la Mawaziri 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa unatusimbua majina huweki
ReplyDeleteHeko Raisi kwa Uteuzi mzuri ila kuna wizara nyeti bado zinapwaya. Hazijapata watu competent. Pengine kukidhi matakwa ya kisiasa zaidi.
ReplyDeleteHongera raisi Dkt.Kikwete kwa kutofanya mabadiliko makubwa katika wizara nyeti na uteuzi.
ReplyDeleteMhs.Membe siasa za mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa amewajibika kikamilifu.
Mhs.Dkt.Asha-Rose Migiro wizara katiba na sheria tunategemea kutakuwepo na mafanikio makubwa kufuatana na upeo wa uzoefu wa kitaifa na kimataifa tunategemea kutakuwepo na ushirikiano mkubwa wa kitaifa na kimataifa kati ya wizara hizo mbili hapo juu.
Waziri mhs.Saada Mkuya na kaimu mhs.Adam kighoma Malima wizara ya fedha wana kiwango cha utaalamu kutuletea mfumo mpya wa matumizi na utunzaji wa uchumi wa taifa.
Nawapongeza saana mawaziri wapya na waliokuwepo bila mabadiliko, mmekabidhiwa si madaraka pekee ni majukumu katika kipindi hiki cha wakati mgumu pande zote "utawala na upinzani" wekeni taifa mbele zidi ya ubinafsi kurudisha imani.
Mikidadi-Denmark
Jamani,Mwigulu Nchemba.
ReplyDeletebig up mh. dr. rais Jk kwa uteuzi ulozingatia matakwa yoye yq kiuwajibikaji na kisiasa. big up sana nakukubal always hufanyi makosa
ReplyDeleteHongera sana!
ReplyDeleteNimefurahi kuona Mawaziri wangu wachapa Kazi na Wapendwa wakiwepo wamebakia ktk nafasi zao.
Mhe.Dr. Abdallah O. Kigoda-WIWANDA NA BIASHARA
Mhe.John P.Magufuli-MIUNDO MBINU NA UJENZI
Mhe.Samuel Sitta-AFRIKA YA MASHARIKI
Mhe.Bernard C.Membe-WIZARA YA MAMBO YA NJE
Pia nimefurahi sana kuwa Waziri kamili Mhe.Dr.Seif Suleiman Rashid-WIZARA YA AFYA
Nimesoma Gazeti la 'The East African' linalochapwa nchini Kenya pana Mtoa Makala mmoja wa Uganda Joachim Buwembo akitazama uwezekano kama Mhe.Dr.John Pombe Magufuli ANGEWEZA KUPEWA URAIA WA UGANDA AKAENDA KUWA WAZIRI WA UJENZI HUKO ILI AFANYE KAZI YAKE KUBWA ILIYOTUKUKA ALIYOIFANYA HUKU TANZANIA.
ReplyDeleteJK NI PROFESA JAMANI KWANINI HAMTAKI KUMPA HAKI YAKE YA UTAMBULISHO?28688254
ReplyDeleteInteresting if not boring all those pongezi, nchi haitabadilika Bali italiwa zaidi, wake up guys1
ReplyDeleteMdau wa 8 hapo juu,
ReplyDeleteWengi wanabana sana kumpa Heshima yake Jakaya Kikwete!
Mimi yamenikuta kwa kuwa muda mrefu sasa nimekuwa nikimwita BALOZI DAKITARI, kitu ambacho Mdau mwenzetu humu Sesopy aliwahi kusema mara zote akiona natoa kwa jina hilo huwa anatabasamu!
Kwa nini nimekuwa nikimwita Raisi Balozi Dakitari?
1.Mwezi Mei mwaka 2013 Addis Ababa alipokuwa Raisi wa kwanza duniani kumshauri Raisi wa Rwanda Paul Kagame aongee na Waasi ili amalizane nao na kusimamisha Vita Mashariki ya Congo inayomweka yeye mwenyewe na Nchi yake kwenye hali tete Kiusalama.
2.Kufuatia Mipango yenye akili aliyoiweka kwa Miundo mbinu na maendeleo huku wengi wakimtazama kama Kada wa Chama cha Mapinduziwasijue ya kuwa Kikwete ni Mwanauchumi mzuri sana na Mwanadiplomasia.
3.Hotuba aliyoitoa Bungeni Dodoma 7 Novemba, 2013 kuhusu hatama ya Tanzanai ktk Afrika ya Mashariki.
MDAU WA 10,
ReplyDeleteNi kweli kabisa kwa kuwa dunia nzima hakuna Raisi ama Mkuu wa nchi yeyote amewahi kuwa Jasiri wa kutoa ushauri huo kwa Raisi Paul Kagame.
Licha ya kuwa Vita ya Mashariki ya Kongo imechukua Miongo miwili (2), two decades yaani miaka 20 ambapo UN (Umoja wa Mataifa umekuwa ukitoa DOLA ZA MAREKANI 1.4 BILLION) kwa mwaka kwa kugharamia Ulinzi wa Amani!
Hivyo ubwege wa Maraisi wa Uganda na Rwanda juu ya kuendela na vita kwa maslahi yao binafsi huko Mashariki ya Congo-DRC umesha igharimu dunia hadi sasa kiasi cha takribani US$ 28 Billion!
Je, kwa Mantiki hiyo (muendelezo wa Vita miaka kwa 20, mauaji ya watu wasio na hatia, kudorora kwa Uchumi na gharama hizo) Ushauri wa Kikwete kwa Kagame una dosari gani?