Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Rasilimani nchini (TIB Development Bank), Peter Noni (wa pili kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DBSA, Patrick Dlamini (wa pili kushoto) wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuwekezaji katika sekta ya uchukuzi huku ukishuhudiwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia waliosimama) na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia waliosimama). Kushoto (waliokaa) ni Meneja Mkuu wa Fedha wa DBSA, Bane Makene na Mwanasheria wa Bodi ya TIB Development Bank, Martha Maeda (kulia). 
 Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Rasilimani nchini (TIB Development Bank), Peter Noni (wa pili kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DBSA, Patrick Dlamini (wa pili kushoto) wakibadilishana nyaraka baada ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuwekezaji katika sekta ya uchukuzi nchini. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Fedha wa DBSA, Bane Makene na Mwanasheria wa Bodi ya TIB Development Bank, Martha Maeda (kulia) Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...