THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

AMERICAN BILLIONAIRE HOWARD BUFFET IN SERENGETI AND NGORONGORO

An American Billionaire Howard Buffett is visiting Serengeti National Park and Ngorongoro Crater for a three days holiday after he was very much impressed by Tanzanian tourist attractions when he visited the country last month.

During his last visit in the country in March this year, Howard Buffett who has a passion on conservation matters through his Howard Buffett Foundation donated two helicopters to Tanzanian Government to be used for anti-poaching activities in the protected areas.

At the Kilimanjaro International Airport, Buffett who is accompanied by his wife was received by his host the Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu.

Issued by the Corporate Communications Department
Tanzania National Parks
9th April, 2014
Howard Buffett coming out of his private jet at Kilimanjaro International Airport.
 Howard Buffett received by his host Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu.
Howard Buffett dances with the Maasai Cultural Group at KIA.
Ghoosh….i can also jump high like a Maasai…Buffett seems to say so.


Kuna Maoni 16 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Cool.Unaweza kuamini kwa haraka haraka kwamba huyo ni bilionea?WaAfrika/Watanzania tuna kitu cha kuiga hapo.Tafakari!

  David V

 2. Anonymous Anasema:

  The mdudu,hii ni kuonyesha kwajinsi gani Tanzania yetu ilivyokua saalaama usalimini ndugu zangu viongozi wetu wa serikali hebu jirekebisheni jamani nautendaji wenu ili hizi faida za umaa zitapakae kona zote za nchi yetu ili wananchi nao wafaidi mali zao za nchi yao coz inauma sana kuona wananchi wengi vijijini hawana UMEME wala HOSPITAL za maana au maji safi na salaama pia Mashule ya maana ok ni hayo tu kwa leo,by the mdudu au Tanganyika Kwanza

 3. Anonymous Anasema:

  Tanzania juuuuuu !!!!!!

  Juuuuu!!!! kama alivyo ruka Bilionea Tajiri wa dunia Warren Buffet!


  'CoW' CHINIIIIIIII!!!!!

  Coalition of the willing, KWISHNEY!

  Taarifa kama hizi zitawakosesha usingizi Nairobi, Kampala na Kigali wanako lazimisha tuwe na Visa moja ya Utalii na Tanzania!

 4. Anonymous Anasema:

  Hivi aliye-suggest kumpa kichwa cha gazelle kama trophy ni nani?

 5. Anonymous Anasema:

  JAMAA NA PESA ZAKE LAKINI YUPO SIMPLE KWA SANA, WAKATI WATZ AKIWA NA VIJISENTI KIDOGO TU UTAMJUA ; SUTI YA UTURUKI, KIATU CHA ITALIA, SIKSI ZA UFARANSA, CHENI KUBWA YA GRAM 3000 ETC

 6. Anonymous Anasema:

  Diaspora njooni na private jet zenu ndiyo tutaamini kuwa Tanzania bila uraia pacha tunakosa fursa zenu kibao za kuisaidia Tanzania kiuchumi.

 7. Anonymous Anasema:

  Mdau uliyeandika kwa herufi kubwa naomba tu nikuelimishe kuwa huyu tajiri amevaa fulana khaki na boot kwa sababu anelekea porini. Anapokuwa ofisini kwake ni mvaaji suti mzuri sana.

 8. Anonymous Anasema:

  huyo bilionea naye ana uraia pacha?

  kutoa au kuwekeza hakutegemei uraia pacha! ... watafute sababu nyingine hao wanaopigania uraia pacha!

 9. Anonymous Anasema:

  We mdau wa saba, hauna akili kabisa yaani utawezaje kumfananisha Buffet na mtu yoyote, simbuse Tanzania Diaspora? Siwaelewi jamaa mnaopinga uraia pacha, Bongo zenu zimejaa wivu, chuki na fitina hamjui hata mnaloongea. Kweli akili zimeganda kabisa mpaka naona kichefu chefu kusoma maoni yenu, hayana vithibitsho(wenzetu wanaita facts, ni maneno ya majungu tu). Nahisi wengi mnadaiwa na jamaa wa Ughaibuni kwa hiyo maajua ili likipita mtafikishwa kwa Pilato. Kazeni buti lisipite, lakini ili swala ni kubwa kwa maendeleo ya TZ.

 10. Anonymous Anasema:

  Mdau uliyesema, "huyo bilionea naye ana uraia pacha?, fikiria kwa akili siyo chuki, wivu, wala hasira fulani. Unajua pamoja nakuona matajiri wengi wanakuja Bongo ujue kuna hao unawaita madiaspora tunapigia debe TZ. Mfano, unajua kwa Oprah kuna director mwenye asili ya kibongo ndiye aliyemshawishi Oprah aje Bongo?! Serikali na watu wenye upeo wanaelewa madiaspora wanasadia sana. . Maswala ya EPA,yote yamevujwa na wana Diaspora, Bongo nani ataongea wakati wote waoga?!, hapa kwa Michuzi tunaongea sababu ya kujificha na kwanza Bongo hatuna utamaduni wa kukosoa serikali, labda uwe mwana siasa.

 11. Anonymous Anasema:

  SAMAHANI, SAMAHANI, SAMAHNI WADAU, imebidi niandike kwa herufi kubwa, kweli kuna jamaa humu anamfananisha Buffet na Tanzania diaspora?(eti diaspora mje na ndege zenu) Imebidi nicheke kwa sauti, utani si utani, sijui ni nini! Kweli elimu ya nguvu inaitajika kwa watu wanaopinga uraia pacha. Katika matajiri wanaokimbiza dunia, basi Buffet ni mmoja wao, ni tajiri kuliko wabongo walioko Bongo na diaspora changanya pamoja. Ni tajiri kuliko Africa nzima,(yeye ndiye anaitwa asilimia moja ya watu wenye utajiri ulimwenguni). Rais wa dunia akitaka ushauri au asitake anaongea na akina Buffet. Wabongo msidharau mtu kwa vile katua kwenu na tshirt na mabuti. Na wacheni kuongea pumba kama hizi. Na nia uhakika kabisa jamaa walioko Ughaibuni wanawapigani wa Bongo kwani najua mie nimefanya hivyo lakini hatupendi kujitangaza, kwani ukijitangaza watu watasema unapenda kujionyesha, Mfano jamaa huyu aliandika hapa watu wameanza kumponda tayari.

 12. Anonymous Anasema:

  kwa taarifa zenu,Warren hana private jet.Lease jet na sio kwamba anashindwa.Anaishi nyumba yake ndogo ya kawaida,sio kama wengine.The guy is really simple.Kama mdao aliposema hapo juu kuna kitu cha kujifunza.Unakuta mtu ananunua v8 wakati hana hata mar mbili ya hio hela kisa show off.
  waafrica matatizo sana.

  Mbise.

 13. Anonymous Anasema:

  jamani bilionea ni baba yake sio huyu mtoto. watz kwa ulimbukeni. du!

 14. Anonymous Anasema:

  Namtetea huyo jamaa wa Saba, Wabeba mabox wanasemaga sababu yao msingi ni kupewa uraia pacha ili waweze kutoa misaada na kusaidia kuwekeza nchini na ndio maana mdau akasema kwamba Buffet katoa msaada wakati SIO Mtanzania hivyo basi na nyie wabeba mabox mnaweza kuendelea kutoa misaada yenu na kuwekeza nchini na passport zenu za huko huko huku tukiwatambua kama wabeba mabox mlio bobea duniani.

  hivyo basi ukitaka kutoa msaada au kuwekeza Tanzania then wekeza ila usitoe sababu za uraia pacha hapa, kwanza kwa pesa zipi mlizonazo wakati tunajua kabisa mishahara yenu ya kubeba mabox na kuosha vibibi na wengine matapeli wa kuchanja credit cards.

  Pasipoti 1 milele!! Miaka zaidi ya 8000 hapa

 15. Anonymous Anasema:

  Mdau pasipoti moja na
  Jamaa unayemtetea "huyo jamaa wa saba" ni aibu hao wabeba mabox, unajijibu mwenyewe, kwa hizo hizo hela za kuosha vibibi, kubeba
  mabox ndiyo hizo hizo unawaomba wawekeze. Ndugu soma nyakati, acheni dharau, ukifagia mtaa, ukisafisha uchafu au ukiendesha ndege zote ni kazi muhimu. Sidhani kama Diaspora wanalingia utajiri wa hela. Mie naona wataleta ujuzi fulani(najua mie naleta ujuzi fulani tayari). Soma nyakati wa kwetu,jiunge na maendeleo au maendeleo yatakupita.

 16. Anonymous Anasema:

  Wabeba mabox hawana pesa kabisa bwana, wakishalipa rent tu kwishneyi hapo...wanabaki na pesa ya msosi na kununua pombe za bei rahisi toka eastern Europe.

  Nakwambia hawana pesa wakilipwa sana ni paund 1,200 - 1,500 kwa mwezi na akilipa rent au mortgage then hakuna kitu hapo!!! mimi nawajua haswa hawa wana pesa za kufanyia fujo kwenye pub za kimakonde na kuibiana wanawake tu!! wasiwadanganye, hawana investment ya USD 1m au zaidi hao.

  Pesa ipo bongo bwana kwetu sisi wala vumbi hapa hapa Tanzania.

  Pasipoti moja miaka laki mbili na zaidi hapa!

  Mtanzania halisi.