Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Boda boda wamepigwa marufuku Jijini Dar Es Slaam,

    Mara zote Utawala bora wa Manispaa ni ule mnaendesha Jiji kwa kutoa mibadala, mfano msinunue kwa walanguzi nunueni madukani na mpewe Risiti za Kodi za TRA.

    Msitumie usafiri wa Bodaboda Jijini tumieni usafiri wa PUNDA !

    Je ni vipi kuwa na usafiri mbadala badala ya Bodaboda Jijini Dar Es Salaam kuwa na usafiri wa Punda?

    ReplyDelete
  2. Jinsi watu wanavyoendelea sehemu fulani za jamii zetu zinaishi kama mababu zetu. Hii pia ni maendeleo kuishi kwa uwezo wako hakuna kusumbuliwa na teknolojia za kisasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...