Ni Miaka mingi sasa imepita huku shimo hilo la chemba likifanyiwa vibweka vya kuwekewa mavitu ya aina mbali mbali ikiwa ni ishara ya alama kwamba hapa kuna shimo.kiukweli shimo hili ni kero sana kwa watumiaji wa njia hiyo hasa ukizingatia lipo maeneo ya katikati ya jiji la Dar pembeni ya jengo refu la Benjamin Mkapa Tower na usoni kwa Makao Makuu ya Benki ya NMB.swali linakuja,hivi ni kweli kwamba hapa pameshindikana kufanyiwa kabisa kutafutiwa ufumbuzi yakinifu?
Home
Unlabelled
HIVI NI KWELI HAPA PAMESHINDIKANA??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Jamani Manispaa, mnatumia muda mwingi kukimbizana na Wamachinga Jijini huku mkitoza Wafanya biashara ada nyingi tu.
ReplyDeletetunapokea Mabilonea wa Dunia wakija Bongo kwenye Utalii zibeni mitaro hiii haraka sana!
Kweli haya ni maajabu. Viongozi wenye dhamana wanasubiri wawekezaji waje wazibe hili shimo. Vitu vidogo kama hivi vinatosha kurudisha nyuma mazingira ya uwekezaji. Sisi tunakimbilia kutoa misamaha ya kodi. Viongozi wa jiji bwana wanafurahisha. Uchafu kibao. Jiji linafagiliwa kwa fagio la mti!!!!!
ReplyDeleteKama vyuma vinaondolewa na watu wa vyuma chakavu, zibua chemba uweke mifuniko ya zege, kuweka kisiki ni kwa ajili ya kuonya watumiaji wa barabara.
ReplyDeleteJamaa hawachelewi kusingizia diaspora, inagwa hatupo kwenye uchaguzi wa vingozi wao.
ReplyDelete