Mhe.Theddy Ladislaus Patrick (21) Mbunge mwenye umri mdogo kuliko wote katika bunge maalum la katiba anaye wakilisha taasisi za elimu ya juu akiingia mjengoni Dodoma
  Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe.Samweli Sitta kushoto akimwapisha Mhe.Theddy Ladislaus Patrick kuwa mbunge wa bunge maalum.
Mhe.Theddy Ladislaus Patrick akibadilishana mawazo na  wajumbe Mhe.Beatrice Shelukindo kulia na mhe. Hamad  Rashid  nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma leo. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kati

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huu ni mwanzo tu wa safari ya uongozi Theddy. Tumia fursa vizuri kutoa mchango jifunze toka kwa viongozi waliobobea. Siku zijazo jitoe uweke jina kwenye nafasi mbali mbali za uongozi.

    ReplyDelete
  2. haonyeshi kama yuko 21yrs

    ReplyDelete

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...