Mhe.Theddy Ladislaus Patrick (21) Mbunge mwenye umri mdogo kuliko wote katika bunge maalum la katiba anaye wakilisha taasisi za elimu ya juu akiingia mjengoni Dodoma
Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe.Samweli Sitta kushoto akimwapisha Mhe.Theddy Ladislaus Patrick kuwa mbunge wa bunge maalum.
Mhe.Theddy Ladislaus Patrick akibadilishana mawazo na wajumbe Mhe.Beatrice Shelukindo kulia na mhe. Hamad Rashid nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma leo. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kati
Huu ni mwanzo tu wa safari ya uongozi Theddy. Tumia fursa vizuri kutoa mchango jifunze toka kwa viongozi waliobobea. Siku zijazo jitoe uweke jina kwenye nafasi mbali mbali za uongozi.
ReplyDeletehaonyeshi kama yuko 21yrs
ReplyDelete