"Africa is the only continent that has huge underused or unused potential. Africa could feed the world, if properly done, so we have to increase the productivity, increase mechanizations, increase infrastructure, skills and local financing. Business people should consider Africa as a business harbor,"
Bruno Wenn, Chief Executive Officer of the German Investment Corp. and Chairman of the Association of European Development Finance Institutions
Ni kweli ....wachina, wazungu wamelitambua hili na wanaifanya kazi murua...baada ya muda flani tutalia tu..banduuuuu weeeeeeeee na hasa kwa mwenendo uliopo.....
ReplyDeleteTungelitambua hilo mapema lakini kwa mwendo uliopo wageni watavuna kila wanachoweza kwa kuwanunua wenzetu wachache wenye uroho wa mali. Viongozi wetu wakiweka utaifa mbele wote tutaneemeka kwa malighafi tulionayo.
ReplyDeleteTumelitambua hilo muda mrefu je tufanyeje badala ya kulalamika, je viongozi wetu wanalijua hili , naomba kama maoni yanavyotolewa kwenye TV kama vile kipimajoto, kiti moto n.k Raisi, waziri mkuu, na Mawaziri husika/ mawaziri na viongozi wenye dhamana wahojiwe na watupatie majibu LIVE kwenye TV Zoote na itangazwe ni lini ili wananchi woote wasikie. siyo watu wanatoa maoni wao wako kimya.
ReplyDeleteatoeni maoni yetu la sivyo mstuuliza
ReplyDeleteThis is true, more investment ios needed especially in areas far from big towns.
ReplyDelete