THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Sherehe za mei mosi uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Hivi hii kauli ya kusema mshahara bado shemeji inamaana gani?

    Madau
    Ughaibuni

  2. Anonymous Anasema:

    Mdau Ugahaibuni, hawa wanaopita na kusema mshahara bado shemeji ni walimu. Mke wa Raisi mama Salma Kikwete ni mwalimu kwa taaluma. KWa hiyo walimu wote wanamwona Raisi JM Kikwete kama Shemeji yao na kusema kuwa bado hawajalipwa.