Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Asalama Leko Tegeta Escrow Account!

    ReplyDelete
  2. We have a very long way to walk!

    Mwandishi wa Taarifa hii kama tungekuwa tuna Sheria kali sana dhidi ya Mali za Umma alitakiwa muda huu anaandikia akiwa Lupango!

    ReplyDelete
  3. Wawafunge wooote wamwache Askofu Kilaini hana kosa yeye ni Baba wa Imani anachopewa anapokea kwa kugawa kwa kondoo wa bwawa!!!

    ReplyDelete
  4. Na Askofu Nzigilwa je aliyeingiziwa fedha kwenye akaunti yake mwenyewe akijaribu kuaminisha umma kuwa alikuwa hajui nini hatima yake kwenye ufisadi huu?

    ReplyDelete
  5. Ankal!! Maneno haya ya kweli? Bodi iiikuwa wapi toka habari hizi zitolewe hadharani? Mbona sakata likichemka Bungeni na Mhe. Profesa akishambuliwa Bodi haikujitokeza? Sana sana alionekana mama mwenyewe akijitahidi sana kujikwamua? Au ndiyo ile ile funika kombe? Ile siku alipokuwa kwenye luninga Star TV kwa nini hakwenda na mjumbe hata mmoja wa Bodi? Hii bana iko namna ankal ebu tuweke wazi bana

    ReplyDelete
  6. Maelezo marefu!! Kwa kweli inakatisha tamaa.

    ReplyDelete
  7. Kama alipokea in good faith ya nini kujikanyaga humu kwenye mitandao ya kijamii au ni yale aliyosema JK kwamba taarifa iwekwe humu ili kila mtu ajisomee ili atakapotoa maamuzi yawe ni appeal to sympathy?

    Kwani ni Regemalila tu ndiyo anaichangia hiyo shule? Mbona vyanzo vingine havijawekwa bayana kama aliashawahi kupewa hela nyingi kiasi hicho.... Huu ni mkono mrefu na kutumia madaraka vibaya.

    ReplyDelete
  8. Ukiisoma taarifa hii unagundua kwamba imetayarishwa kujibu au kwa lengo la kurejesha (to account) fedha zote alizopewa Mh. Tibaijuka. Fedha hizi ni nyingi mno kutolewa kama zawadi tu hivi hivi. Wale wote waliopata mgao huo wakipewa nafasi kila mmoja atajieleza na itaonekana kama hakuna kosa. Tungojee uamuzi wa Mheshimiwa Rais.

    ReplyDelete
  9. Kwa maelezo haya namwomba RAIS amwache Prof Tibaijuka, kwani maelezo yamekamilika.

    Observer

    ReplyDelete
  10. Michango mikubwa kwa taasisi za kijamii inatolewa hadharani mbele ya vyombo vya habari na kutangazwa rasmi kwa uma kwa hashima ya mtoaji. Swali kubwa hapa ni kwamba kwanini mchango mkubwa kama huu utolewe kichinichini kwa siri kwenye account maalum iliyofunguliwa haraka haraka kwa jina la mtu binafsi. Mimi sioni ni jinsi gani mnaweza kujitetea hapa. Ni afadhali kukubali kosa na kujisalimisha. Hapa mmechemsha.

    ReplyDelete
  11. Inavyoonekana hapa ni kwamba mama waziri Tibaijuka alipewa fungu lake, kwa hiyo akafungua account maalum haraka sana na kupokea fungu lake. Sasa, baada ya moto kuwaka, mama waziri akapiga mahesabu makali ya kiprofesa ya kuhalalisha ni kwanini alipewa hilo fungu. Kwa hiyo mama waziri akatumia akili ya kiprofesa akaiweka bodi ya shule sawa wakaanza kutunga hadithi kwamba hilo fungu lilikuwa ni la shule na wala sio la mama waziri binafsi. Hiyo account alifungua tu kwa sababu ya kupokea fungu. ....... Jamani ninawaomba wasanii muichangamkie hii, muitengenezee hata sinema. Kweli Tanzania ni Bongoland.

    ReplyDelete
  12. Bw Michuzi naomba hii habari uishikilie juu kwa muda kiasi ili tuweze kusoma maoni ya Wasomaji kwa urahisi.

    ReplyDelete
  13. Mama waziri Tibaijuka, hapa mmechemsha. Kwanini ukafungue account binafsi kwa speed kali kwa ajili ya kupokea hizo pesa kama kweli zilikuwa zimetolewa kama mchango kwa ajili ya shule? Shule ina account. Na kwanini huo mchango haukutolewa hadharani mbele ya waandishi wa habani ili kuutangangazia uma heshima kubwa ya bwana Rugemalira kujitolea kwa ajili ya jamii? Hapa umechemsha mama, sijui kama hata chenga za kiprofesa zitasaidia.

    ReplyDelete
  14. WanaChadema tunakubaliana na maelezo haya. Kwa kweli Prof ni mchapa kazi na muadilifu. Rais amuache tu!!!!

    ReplyDelete
  15. Just turn in the dirty money. Don't try to legalize it. Turn in the money for the good faith in enhancing your organization. We have seen in this world of transparency people who took dirty money they do return the money to clear their names. Take that money back

    ReplyDelete
  16. Goodluck mama Waziri. Wewe ni mwanakijiji mwenzangu Makongo, na najua una juhudi kubwa kwa ajili ya maendeleo ya jamii. Lakini ninavyoona hapa umekosea na kuna dalili mambo yamekwenda nje ya mstari. Tunza heshima yako mama, kama umekosea kubali, omba msamaha kwa uma na achia ngazi. Jamii itakuheshimu ukifanya hivyo. Na jamii itakuzawadia ukifanya hivyo, you will come back even stronger. Take care mama waziri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...