Kazi zikiendele katika mitaa mbalimbali ya Kariakoo jijini Dar es Salaam ikiwa na matengenezo ya fremu mbalimbali.
Nondo zikiwa katwa kwaajili ya kutengeneza fremu katika mtaa wa Congo ,Kariakoo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2015

    Huyu fundi vyuma ana hatari hana miwani ya kinga ya macho,hana grovi za mikono,hana nguo za kazi wala viatu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...