Kazi zinazotangazwa ni kama ifutazo:
I.    Kuwa mwagizaji wa vifaa mbalimbali vya club
II.    Kuuza vifaa mbalimbali vya club
Zabuni hii inafuati utekelezaji wa club kutaka kukuza mapato yake ili
iweze kujijenga msingi imala ya mapato na hivyo kuiwezesha kuendesha
shughuli zake mbalimbali.

Mwombaji anatakiwa atimize masharti yafuatayo.
1. Awe na Leseni hai ya biashara husika
2. Awe amesajiliwa kama mlipa kodi
3. Maelezo ya kampuni yaani Company profile ikieleza aina ya kampuni au
biashara unayoifanya na eneo ilipo.

4. Waombaji wawe ni makampuni yaliyosajiliwa kisheria na waambatanishe
vivuli vya nyaraka zinazoonyesha uhalali wa uwepo wa mwombaji. Pia
muombaji aonyeshe anwani ya ofisi yake (physical address).

5.Bahasha zenye zabuni zifungwe na lakiri zikionyesha jina na namba ya
zabuni inayoombwa zikielekezwa kwa anuni ya Katibu Mkuu Mbeya City Council
F.C, S.L.P 149, Mbeya na ziwasilishwe ofisi ya Timu iliyopo Ukumbi wa
Mkapa.
        Kwa maelezo wasiliana na;
        Katibu Mkuu
        Mbeya City  Council F.C
        S.L.P 149,Mbeya.
          Simu  N0: 0718732626

6.Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 03.08.2015 saa 4.00 asubuhi.

Katibu Mkuuu
Mbeya City Council F.C

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2015

    Wewe Katibu Mkuu acha kuandika barua kama hii. Mbeya una makampuni mengi sana, ondoa barua yako kwenye mtandao. Omba usafiri uende Mbeya Cement, Tanzania Breweries, Pepsi, Coca-Cola, Serengeti Breweries, MSD, Kanji Lalji, Walji, Benki Kuu, NMB, CRDB; Benki ya Posta, NSSF, NBC, Barclays, TFDA, Mbozi Coffee Curing, Mwakabwangas na LAPF. Acha uvivu, ukizunguka kote utapata wadhamini wengi sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...