Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd  Mwesige Michuruza akizugumza na wanahabari hawapo pichani juu ya fainali ya shindano la “Valeur Comedy Nights” ambalo ni shindano la kusaka vipaji vya sanaa ya uchekesaji. Fainali hiyo itakayofanyika 3 Oktoba mwaka huu  Hongera Baa, Sinza    jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Vuvuzela Company Ltd Evans Bukuku.
 Afisa Habari BASATA Aristides  Kwizela akisisitiza jambo katika kikao hicho kulia ni Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd Mwesige Michuruza
Washiliki wa shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja na waandaaji wa shindano la “Valeur Comedy Nights” leo jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...