Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nani kama kaka.

    ReplyDelete
  2. kwanza kabisa nimefurahiswa na hiyo picha uoto wa Asili ulivyopendeza naomba usiharibiwe ubaki kama ulivyo. Pili picha ya watoto wananikumbusha mwaka arobini na saba kule kijijini wanonekana wako na afya nzuri wameonyesha upendo kati yao. tatu motto yuko peku miaka hiyo ukitembea peku kuna madini ambayo unayapata lakini miaka ya hivi karibuni kutembea peku ni balaa kutokana na uwingi wa watu wanatema mate ovyo, n.k. nne picha hiyo inaonyesha ni jinsi gani Tanzania tulivyo na amani watoto wadogo wako barabarani kwenye msitu wako hapy hawanawasi wasi tumuombe mungu tubaki na Amani yetu Tanzania nakupenda Tanzania Mungu Ibariki Tanzania. Ibariki Africa

    ReplyDelete
  3. Anny.

    hapo juu karibu yote umuyagusia, Ni waTanzania wenye mepenzi mema watailinda Nchi yetu, tuepukane na majanga tunayo yaona kwenye nchi za wenzetu.

    1. ni uhuru wa vijana ndani ya Nchi yao.
    2. mapenzi ya mkubwa kumpenda mdogo wake.
    3. Ingawa kaka yuko peku, mdogo kavaa viatu, na furana ya Nchi yake.

    -NAKUPENDA TANZANIA. and AFRICA.

    ReplyDelete
  4. Safi sana Mkubwa anambeba Mdogowake! Inamafunzo mengi kwenye swala la kusaidiana ili kunda mbele ya safari!

    ReplyDelete
  5. LEO TUNA AFYA, AMANI NA UPENDO

    1.Pamoja na maliasili tulizonazo (uoto mzuri uonekanao) bado sisi ni maskini lakini tuna afya amani na upendo.
    2.Miundo mbinu (barabara) dhaifu, lakini tuna afya, amani na upendo
    3.Kaka hana viatu, mdogo ana viatu na amebebwa...wakubwa (wazee) wetu wanatupenda kwa dhati, ni wazalendo 9T-shirt) na wanatupigania sisi tulio na maisha ya leo ni kwa jaili ya uzalendo wa wazee wetu

    my fifty cents

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...