Usikose kufuatili vipindi na taarifa za Azam TV  ili kupata utabiri wa hali ya hewa wa kila siku  kupitia AZAM TWO ili kufahamu hali ya hewa na viwango vya joto katika mji yetu mbali mbali na kuweza kupanga ratiba zako za siku

Wenzetu wa nchi za Magharibi ambao wanazingatia sana utabiri wa hali ya hewa na wakati mwingine mtu hatoki ndani kama hajasikia utabiri wa hali ya hewa, kwani hajui nini kitampata akiwa mbali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...