Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Upinzani kila nchi huitwa magaidi. Hata ukawa ni magaidi hapa tz. Lakini ni shambulizi gani la kigaidi hawa ukawa wameganya?
    Balozi unawasifia waturuki hamna kitu hao. Ungesifia nchi za kweli zenye viwango kama ujerumani

    ReplyDelete
  2. Ndugu hujaijua ujerumani bado. Nadhani ukifuatilia historia ya TZ vizuri utaelewa hao ni nani. Mpaka sasa ujerumani ndio taifa pekee lililokaidi kutambua mchango wake katika kumaskinisha makoloni yake kwa kukalia nyaraka zote na makusanyo ya vitu na vito vya makoloni hayo. Koloni lao kuu lilikuwa Tanganyika na wanavitu vinavyotumika kiuchumi hata sasa zaidi ya 200000. Moja wapo ni mabaki ya dinosour pekee duniani. Cultural objects za wangoni, wachaga, wanyamwezi na wahehe zimejaa ktk makumbusho zao zinaingiza mamilioni. Waturuki wapo sahihi tuwasikilize na hizo shule tuzifunge. Baba akikwambia mwanae mwizi wewe jirani ukimpinga basi ujue una tatizo la akili unahitaji uthibitisho wa daktari tu ili umma uchukue tahadhar nawe...

    ReplyDelete
  3. Waziri hizo tuhuma hatuwezi kuzipuzaa tusisubiri kuletewa ushahidi sisi tuna vijana wetu wapo compitent kwenye upelelezi tuanze wenyewe kama ulivyomuagiza muwakilishi kwenda ANKARA. Halafu kwa ushauri wa bure kwa taifa fatilieni harakati za hawa MASUFI wa kituruki duniani kote mtagundua kitu kuhusu hizi tuhuma zilizotajwa kuhusu hawaa mabwana.

    ReplyDelete
  4. Serekali tuzilipuuze hili sisi tunao vijana wapo compitent kwenye upelelezi waanze kazi mara moja. Na kwa kuwasaidia hebu fuatilieni harakati za hawa masufi wa kituruki duniani kote mtagundua kitu kuhusu hizi tuhuma zinazotolewa na serekali ya INSTANMBUL na hata hapa TZ kuna vijiharakati wanavifanya kwa kupitia mgongo wa mashule yao hayo ya Feza lakini malengo yote yanaelekezwa kule Instambul. Kwenye tuhuma hizi uturuki hawajakurupuka kabisaaaaaaaaaaasaaaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...