THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

BENKI YA BANCORP YATOA TUZO KWA WANAKIKUNDI CHA BETA LIFE SERIVICEJIJINI DAR LEO.


Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa banki ya Twiga Bancorp, Solomon Haule (kulia) akimkabidhi tuzo mwakilishi wa kikoba cha Beta Life Service Dorice Mwaipopo ikiwa ni inshara ya kutambua juhudi za kikoba hicho katika kurejesha makusanyo yake kwa kila wiki, wa pili kulia ni mtaalamu wa mikopo wa benki hiyo Joseph Samson na pembeni yake ni Meneja wa tawi la Mlimani.
 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa banki ya Twiga Bancorp, Solomon Haule (kulia) akionesha tuzo aliyoikabidhi kwa kikoba cha  Chamabavu , pembeni yake ni mtaalamu wa mikopo wa benki hiyo Joseph Samson pamoja na Meneja wa tawi la Mlimani City, Joseph Tlae.