THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI

 Mkuu wa Wilaya ya  Kasulu Kanali  Martin Mkisi akiwa amekamata moja ya bunduki  mbele ya mmoja ya watuhumiwa ambao yeye kwa kushirikiana na timu yake ya Ulinzi na Usalama, wamefanikiwa kukamata watu watano wanaotuhumiwa kuwa wawindaji haramu na watekaji pamoja na silaha kadhaa walizokutwa nazo katika misitu ya wilaya hiyo. DC Mkisi amesema zoezi hilo ni endelevu na kwamba yeye na kamati yake hawatapumzika hadi vitendo vya ujangili na utekaji vimekomeshwa wilayani humo.


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Ronald Anasema:

    Safi sana DC Mkisi, kazi nzuri, mungu awatie nguvu zaidi. Ujangili limekuwa tatizo kubwa sana kasulu, lakini sasa naona tumepata dawa yake. Kudos kwa DC na team yake!!

  2. Anonymous Anasema:

    Huu ndio uzuri wa kuwa na wakuu wa wilaya na mikoa ya mipakani ambao ni wanajeshi,hongera sana DC Mkisi na timu yako,hao majambazi mpaka wako me kwani wanawanyima usingizi wanaichi wasio na hatia yoyote.