Mkuu wa Wilaya ya  Kasulu Kanali  Martin Mkisi akiwa amekamata moja ya bunduki  mbele ya mmoja ya watuhumiwa ambao yeye kwa kushirikiana na timu yake ya Ulinzi na Usalama, wamefanikiwa kukamata watu watano wanaotuhumiwa kuwa wawindaji haramu na watekaji pamoja na silaha kadhaa walizokutwa nazo katika misitu ya wilaya hiyo. DC Mkisi amesema zoezi hilo ni endelevu na kwamba yeye na kamati yake hawatapumzika hadi vitendo vya ujangili na utekaji vimekomeshwa wilayani humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Safi sana DC Mkisi, kazi nzuri, mungu awatie nguvu zaidi. Ujangili limekuwa tatizo kubwa sana kasulu, lakini sasa naona tumepata dawa yake. Kudos kwa DC na team yake!!

    ReplyDelete
  2. Huu ndio uzuri wa kuwa na wakuu wa wilaya na mikoa ya mipakani ambao ni wanajeshi,hongera sana DC Mkisi na timu yako,hao majambazi mpaka wako me kwani wanawanyima usingizi wanaichi wasio na hatia yoyote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...