Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akiwa katika Kikao na Waziri kutoka nchini Ufaransa, anayesimamia Mazingira, Nishati na Bahari, Segolene Royal (kulia kwa Naibu Waziri). Waziri huyo pamoja na Ujumbe wake walifika katika Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam ili kuzungumzia uendelezaji wa miradi mbalimbali ya Nishati nchini.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani ( wa kwanza kulia) akiwa katika Kikao na Waziri kutoka nchini Ufaransa anayesimamia Mazingira, Nishati na Bahari , Segolene Royal (kulia kwa Naibu Waziri) . Waziri huyo pamoja na Ujumbe wake walifika katika Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam ili kuzungumzia uendelezaji wa miradi mbalimbali ya Nishati nchini. Wa kwanza kushoto ni Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli, James Andilile.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...