THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

HAKUNA MWANASIASA ATAKAYERUHUSIWA KUVURUGA AMANI-MAJALIWA.


Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Nadhani maandamano haya ni ya amani. Hakuna mtu anataka kuvuruga amani. Bali sema utawazuia kuandamna kwa sabubu hayatakiwi. Hta kama ni ya amani

 2. Anonymous Anasema:

  Ready to protect peaceful at all costs even sheding. Then peace is more important than us. Sure there is peace without us since there is no war. But what is human peace without humans?

 3. Anonymous Anasema:

  Mh. Nadhani kuna utata hapo. Polisi wanazuia maandamano kwa sababu waiyazuia na chadema wanakaidi zuio. Lakini kuzuia maandamano hakulindi amani kwani jamaa wanasema ni maandamano ya amani. Bali kuna linda amri. Hivo ni kuhusu utii wa maelekezo na si ulinzi wa amani.

 4. Anonymous Anasema:

  Annony no 2 your arguments may have been sensible made in Kiswahili. "Ready to protect peaceful at all costs even sheding"!!! I gues u meant ....peace ... cost .... shedding (blood)! Of course peace must be the precusor to any existence. Without peaceful co-existence humans would have annihilated themselves. We would not have existed today as humans without peace. You must have missed or never did your human history studies. Quite likely the so called ukuta morons are in the same level of ignorance as you illustrate yourself. Pity Tanzania.

 5. Anonymous Anasema:

  "Nadhani" maandamano haya ni ya amani? Kama ni kudhania tu hata mimi nadhani wewe hujafuatilia matamshi mbali mbali ya wanaojiita viongozi wa ukuta. Naishukuru Serikali kwamba yenyewe haiongozwi na madhanio yako na mimi. Majuto mjukuu!