THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

KHADIJA KOPA ALIVYONOGESHA HAFLA YA UZINDUZI WA BIDHAA MPYA YA NYWELE ZA KINA DADA JIJINI DARMalkia wa Mipansho na Mwanamuziki Mkongwe wa Taarab, Bi. Khadija Kopa akizikonga nyoyo za mashabiki wake waliohudhulia hafla ya uzinduzi wa bidhaa mpya ya Mafuta ya nywele aina ya Aliyana ya Kampuni ya Darling Group, iliyofanyika jana kwenye Kiota cha Akemi, Jijini Dar es salaam. 
Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Leah Kihimbi akizungumza kwa niaba ya Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa bidhaa mpya ya Mafuta ya nywele aina ya Aliyana ya Kampuni ya Darling Group, iliyofanyika jana kwenye Kiota cha Akemi, Jijini Dar es salaam.

Wawakilishi Kampuni ya Darling wakingumza kuhusiana na bidhaa yao hiyo mpya.
Muigizaji wa filamu nchini, Jackieline Wolper akiwa sambamba na Mwanamitindo, Martin Kadinda pamoja na Mdau wakiyasakata magoma katika hafla hiyo, iliyofanyika jana kwenye Kiota cha Akemi, Jijini Dar es salaam.