THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Marufuku kutumia mafuta ya transfoma kukaagia chipsi- Profesa Muhongo.

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amepiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa ajili ya kukaangia chips na kutengeneza mikorogo.

Profesa Muhongo ameyasema hayo alipokuwa akihutubia wakazi wa kijiji cha Kirongo wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya umeme  vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika mkoa huo.


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Hii inatisha kweli, tuko salama na mafuta haya?

 2. Anonymous Anasema:

  Ndani ya Ziwa Victoria Ktk visiwa vya wavuvi, nywele za binadamu hutu mika kukaushia samaki!

 3. Anonymous Anasema:

  Kwani kabla ya kupigwa marufuku yalikuwa yanaruhusiwa kutumika? Nilidhani polisi badala ya kuwafuatilia original comedy na minguo inayofanana nao wangewakama hao watumiaji wa mafuta ya transforma ambayo yanaua watanzania wengi kila siku. Lakini wenzetu polisi wanaipa kipaumbele vitu vidogo vidogo.

 4. Anonymous Anasema:

  ndio maana kasi ya kansa imezidi Tanzania. Tunatumiaje mafuta ya transfoma wakati mafuta ya alizeti hayana cholesterol na yanapatikana kwa bei nafuu??