Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa nchini (TAKUKURU), Valentino Mlowola (kulia) akipokea Bango la Mahakama ya Tanzania kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Utawala wa Mahakama ya Tanzania, Wanyenda Kutta. Kushoto ni Afisa Utumishi, Mahakama ya Tanzania, Mwajuma Suru. Makabidhiano hayo yamefanyika leo kwenye ofisi za Makao Makuu ya TAKUKURU.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa nchini (TAKUKURU), Valentino Mlowola (kulia) akizungumza jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala wa Mahakama ya Tanzania, Wanyenda Kutta, kabla ya Makabidhiano hayo kufanyika leo kwenye ofisi za Makao Makuu ya TAKUKURU. PICHA NA MAHAKAMA YA TANZANIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...