Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa



  1. Michuzi naomba mpe tuisheni kijana wako ... Tazara haikujengwa na wakoloni. Ilijengwa na Serikali ya Tanzania (sio Tanganyika) chini ya rais Mwalimu Nyerere kwa msaada wa watu wa China.

    ReplyDelete
  2. Nadhani huyo ni George Chicken na siyo George 'Chicken Meat', tukitaka kutafsiri kama ndugu mtangazaji ulivyotafsiri wewe hilo jina lake. Hapo kuna tofauti kati ya 'Chicken' na 'Chicken Meat' (Kuku na Nyama ya Kuku).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...