Mtangazaji mashuhuri wa BBC  Salim Kikeke ni mtangazaji wa kwanza kutoka Tanzania kusoma habari (News anchor) katika TV ya kimataifa, na kwa lugha mbili-  Kiingereza na Kiswahili - kwa kimombo  bilingual presenter. BBC Focus on Africa na BBC Dira ya Dunia TV.
Msikilize hapo chini akiongelea mustakabali wake katika tasnia ya  habari...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...