Jeneza lenye Mwili wa Baba wa Golikipa wa Yanga, Deogratius Munish, Marehemu Bonaveture Munish ukiwasili kanisani tayari kwa Misa ya kuaga Mwili, na baadae kusafirishwa kwenda Mkoani Kilimanjaro kwa Mazishi.
 Golikipa wa Yanga, Deogratius Munish (katikati) akijadiliana jambo na baadhi ya ndugu wakati wakijiandaa kwa safari ya kwenda kuupumzisha mwili wa Baba yake kwenye Nyumba yake ya Milele huko Mkoani Kilimanjaro, mara baada ya kuaga leo.
 Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akiwa miongoni mwa waombolezaji waliofika kanisanani hapo kuaga.
Manji akiwasili Kanisani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...