MH.NAIBU SPIKA DKT TULIA ACKSON AKIWA NA WANAFUNZI LOLEZA GIRLS HIGH SCHOOL JIJINI MBEYA SHULE AMBAYO ALIHITIMU KIDATO CHA NNE. KATIKA SHULE HIYO NAIBU SPIKA ALITOA SH. MILIONI 5 KUSAIDIA UJENZI WA BWENI, KAZI AMBAYO TAYARI IMEKAMILIKA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huyu ni role model wa wasichana hawa aendelee kuwatia moyo wanafunzi wafanye vizuri ili waendelee kama alivyopiga hatua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...