Kaimu Afisa Mkuu Wateja Binafsi wa  NMB, Boma Raballa pamoja na Mratibu wa Mashindano ya Rock City Marathon, Mathew Kasonta wakikabidhiana Mfano wa Hundi yenye thamani shilingi milioni kumi kwa ajili ya maandalizi ya Mashindano ya Rock City Marathon kwa Kampuni ya Capital Plus International Ltd anaeshuhudia nyuma ni Msimamizi Mkuu wa Kampuni hiyo ya Capital Plus, Erasto Kilawe
 Kaimu Afisa Mkuu Wateja Binafsi wa  NMB, Boma Raballa akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa kukabidhiana Mfano wa Hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa Waandaaji wa Mashindano ya Rock City Marathon kwa mwaka 2016 katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam
 Baadhi ya Wanahabari wakimsikiliza  Mratibu wa Mashindano ya Rock City Marathon, Mathew Kasonta wakati wa hafla ya kukabidhiana mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mratibu wa Mashindano ya Rock City Marathon, Mathew Kasonta akizungumzia juu ya maandalizi waliyoyafanya katika mashindano ya Rock City Marathon kwa mwaka 2016. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...