THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

NYANDA WA KUTUMAINIWA KATIKA CHAMA LA NANIHII

Nyanda nambari wani wa Chama la Nanihii,Ankal akiruka kwa umaridadi kabisha kunyaka mpira ulioelekezwa langoni mwa timu yake ya Timu ya Upinzani, katika mtanange wa Kombe la nanihii uliopigwa jana katika Dimba la Kimataifa la nanihii, Mjini Dodoma.


Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Nyanda anaonaje Mpira wakati kafumba macho?

 2. Anonymous Anasema:

  Ankal tunakuomba uje kujiunga na timu yetu ya Msimbazi pia tunataka kuifufua tena timu yetu ya kongo United aka Shetani wekundu kariakoo,
  namna gani vipi ?uwemo katika timu.
  wapwazo
  FFU-Ughaibuni

 3. Anonymous Anasema:


  Mi nashangaa sana watu wanatafuta makipa wenye viwango kwa ajili ya ligi kuu ya Vodacom wakati Ankal yupo ... anawashinda hata akina Deo Munishi ana Agban. Hizi kamati za usajili za hizi timu mbili zinafanya sivyo kutomuona Ankal

 4. Anonymous Anasema:

  "Fumo Felician anaachia shuti kali kabisa, ankal ananyaka kama nyani vile..... namna gani hapa"- Charles Hillary

 5. Anonymous Anasema:

  Huyu Nyanda hatari Ankal, unanikumbusha Moses Mkandawile wa Simba Enzi hizooo za Mwalimu!!!! Hah Hah Hah.

 6. Anonymous Anasema:

  ANKAL UNA MBWEMBWE.UMEDAKA NJE YA ENEO LAKOOOOOOO

 7. Anonymous Anasema:

  Ankole skuelewi kabisa mbona lango liko juu kule (kulia) hapo ulipodakia ni wapi...ufafanouz plz