Nyanda nambari wani wa Chama la Nanihii,Ankal akiruka kwa umaridadi kabisha kunyaka mpira ulioelekezwa langoni mwa timu yake ya Timu ya Upinzani, katika mtanange wa Kombe la nanihii uliopigwa jana katika Dimba la Kimataifa la nanihii, Mjini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Nyanda anaonaje Mpira wakati kafumba macho?

    ReplyDelete
  2. Ankal tunakuomba uje kujiunga na timu yetu ya Msimbazi pia tunataka kuifufua tena timu yetu ya kongo United aka Shetani wekundu kariakoo,
    namna gani vipi ?uwemo katika timu.
    wapwazo
    FFU-Ughaibuni

    ReplyDelete

  3. Mi nashangaa sana watu wanatafuta makipa wenye viwango kwa ajili ya ligi kuu ya Vodacom wakati Ankal yupo ... anawashinda hata akina Deo Munishi ana Agban. Hizi kamati za usajili za hizi timu mbili zinafanya sivyo kutomuona Ankal

    ReplyDelete
  4. "Fumo Felician anaachia shuti kali kabisa, ankal ananyaka kama nyani vile..... namna gani hapa"- Charles Hillary

    ReplyDelete
  5. Huyu Nyanda hatari Ankal, unanikumbusha Moses Mkandawile wa Simba Enzi hizooo za Mwalimu!!!! Hah Hah Hah.

    ReplyDelete
  6. ANKAL UNA MBWEMBWE.UMEDAKA NJE YA ENEO LAKOOOOOOO

    ReplyDelete
  7. Ankole skuelewi kabisa mbona lango liko juu kule (kulia) hapo ulipodakia ni wapi...ufafanouz plz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...